Burhani Household 52EnglishTuandikie WhatsApp

BurhaniHousehold 52Vifaa vya jikoni, catering na nyumbani, vinaagizwa moja kwa moja hadi Kariakoo

  • Vifaa vya nyumbani
  • Vifaa vikubwa vya jikoni
  • Cafeteria na bakery
  • Fast food na catering

Tunaagiza wenyewe. Aggrey St, Kariakoo

0782 493 163
Fungua duka

Kwenye rafu

Tulichonacho

Unaweka vifaa jikoni? Tuma orodha yote.

Hoteli, migahawa, bakery na wana-catering hututumia orodha moja badala ya maswali kumi tofauti.

  1. Orodha moja

    Kila kifaa na idadi yake, kwa maandishi au picha.

  2. Mazungumzo moja

    Kwa WhatsApp, 0782 493 163.

  3. Bei moja

    Bei na mzigo uliopo kwa orodha nzima.

Aggrey Street

Kariakoo, Dar es Salaam

Njoo uone mzigo dukani, Aggrey Street. Kwa modeli maalum, piga simu kwanza.

Saa za Dar es Salaam